Lulu Michael Ataka Kupima Ukimwi live Kupitia Kwa Mange Kimambi

 


Baada Mange kuandika habari ya muigizaji Elizabeth Michael 'Lulu' kuwa ni muathirika wa HIV, muigizaji huyo wa filamu Bongo, ameibuka na kumtumia ombi Mange kuwa wanaweza wakapima HIV live ili kupata majibu sahihi zaidi juu ya taarifa aliyoiandika.


Lulu ameona kuwa ni fursa kwani amependekeza zoezi hilo lifanyike live na watazamaji watapaswa kulipia ili kutazama zoezi hilo.


Lulu amemtumia ujumbe huo Mange kupitia Insta Message ambapo amesema zoezi hilo inabidi waliweke kisheria maana ana wasiwasi Mange anaweza kumpiga pindi miamala itakapoanza kusoma.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad