Mama Adaiwa Kufanya Mapenzi na Mwanae Moshi, Maajabu yatokea, ‘Funguo yavunjika’



Mama ambaye anatuhumiwa kufanya mapenzi na Mtoto wake wa kumzaa katika Kata ya Pasua Mkoani Kilimanjaro, amefariki dunia baada ya kupata mshtuko wa moyo.

Mama huyo Clemensia amefariki Dunia baada Ya kukimbizwa Hospitali Ya Rufaa ya Mawenzi akitokea Kituo cha Polisi Moshi alipokuwa akishikiliwa na Polisi Mkoani Kilimanjaro kwa kosa la kufanya mapenzi na Mtoto wake wa kumzaa.

Idd Selemani ambaye ni Jirani wa Marehemu amesema kwenye mazishi ya Mama huyo ilitokea hali ya sintofahamu ambapo wakati wanauchukua mwili Hospitali gari waliyokuwa wanaitumia ilikata funguo na walipobadilisha gari nyingine iligoma kuwaka hadi Mtoto wa kike wa Marehemu aliposhuka kwenye gari hiyo ndipo ilikubali kuwaka.

RPC wa Kilimanjaro Saimon Maigwa amekiri kupokea tukio hilo na kusema Jeshi La Polisi bado linamshikilia Mtoto huyo ambaye anakadiriwa kuwa na umri wa miaka 15 kwa kosa la kufanya mapenzi na Mama yake mzazi ambaye kwa sasa ni Marehemu.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad