Rudi kwa drawing board. Kaa chini tuliza kichwa. Start afresh. Badilisha mindset. Acha ubahili. Yani fanya kama efm ndo inazaliwa upya. Utawapata wote hao waliokumbikia ila cha kwanza badilisha management , muondoe Sebo, it’s obvious Sebo kashindwa kuimarisha radio. Na wafanyakazi wako woote lalamiko la kwanza ni Sebo. Mpumzishe Sebo. Sebo ndio anguko la hiyo radio.
.
.
Huwezi kuwa radio pekee yenye jengo kubwa Tanzania nzima alafu jengo limebaki kama gofu, hakuna talent ndani…
.
Woote watarudi hao ukitoa $$$$. Anza kushare nao profits za matangazo kwenye vipindi vyao mbali na mishahara.
Lipa mishahara ontime. Ofisini gani kulipa mishahara mpaka mshikane mashati?
.
Hatutaki efm ife, tutataka competition.
.
Ila na hawa presenters nao wawe loyal jamani. Yani wamekuwa kama wadangaji, hawatuliii sehemu. Wakiona hela tu hao wanahama, yani hawana tofauti na mala**. Hata huko Wasafi na Clouds wapeni mwaka tu, wataenda kudanga tena. Especially Maulid Kitenge, yani yule ndo hana loyalty na mtu zaidi ya pesa. Kitenge angeweza angekuwa anahama radio kila mwezi.
.
.
Ushauri mwingine ni ibua vipaji vipya. Mkiibua vipaji vipya hawa wachache wenye majina watashindwa kuwaumiza vichwa. Radio 3 mnategemea talent 10 tu lazma wawasumbue akili. Kungekuwa na talent 200 mnadhani wangewasumbua hao? Wangekaaa radio moja miaka 30