Mange Kimambi Awashutumu Wasafi Kuiba Habari zake, Juma Lokole na Dida Watajwa




Mange Kimambi Ameandika haya kupitia Instagram:



"@diamondplatnumz and @didahshaibuofficial . Ndo nasoma hapa comments za watu kuwa almost everyday nikiposti habari kwenye app kesho yake kwenye mashamsham mnaidiscuss as if ni habari yenu. Watu walidhani I don’t mind. Yes I do freaking mind.

Huyo ch....ko wenu umbea exclusive hana so amebaki kuiba from my app na kuleta kwenye kipindi. Nyinyi kama media mna obligation ya kuverify habari anazoleta kwneye kipindi kama kaiba ila hamfanyi verification yoyote mnazirusha habari ambazo zinamilikiwa na media ingine.

@didahshaibuofficial @diamondplatnumz habari zang sio public news au public content habari zangu ni private content and exclsuive ndo maana inabidi ulipe pesa kuzi access so nyie mnapo ziiba na kuzirusha mnanipotezea kipato, mpaka hapo nawaidai mabilioni ya pesa kwa ajili ya kipato nachopoteza Kutokana na kipindi cha mashamsham kurusha habari zangu.


Nimeona fans wa Diamond wana comment kuwa what if na nyie mnauziwa habari kama mimi navyouziwa? nimewaona hawana akili tu, ni media gani inayonunua content ambayo imeshapostiwa na media ingine? Mimi mwenyewe na kupenda kwangu umbea koteee ila swali la kwanza nalouliza kabla sijalipia umbea ni 👋 habari imeshapostiwa kokote? Kama imeshapostiwa hata na kimedia ushuzi sinunui maana najua ni useless hakuna mtu atakuja kwenye app kusoma habari ambayo isshapostiwa bure . Na kama kweli mnanunua why kila siku nikiposti mimi ndio habari muuziwe nyie?Acheni janja janja. Mbona redio zingine zinajikaza haziibi umbea wangu kasoro kipindi cha mashamsham na sometimes kipindi cha ICU?Yule choko umbea exclusive hana inabidi aibe kwenye app. @dstvtanzania watch out


@diamondplatnumz acha ubahili, kama unataka hiko kipindi cha mashamsham kiwe kinapata umbea it’s easy, weka dau zuri watu watakuletea umbea kama wanavyoniletea mimi au hata zaidi.Weka budget ya hata 50 million tu every month kwa ajili ya kulipa wambea, hiko kipindi kitajaaa umbea. Tatizo hutaki kushare mapato yako na wambea kama navyofanya mimi then unanitegemea mimi upate umbea bure.

Gawaneni mafanikio na wananchi kama navyofanya mimi na umbea mtaupata.

Eti mna souce zenu na nyie, hizi source zenu zinasubiria habari ipostiwe Mange Kimambi App ndo ziwaletee? " Mange

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad