Mbosso Azichana Tuzo za Tanzania Music Awards "Mna Roho Mbaya na Chuki"


Mwimbaji Mbosso (@mbosso_) ameijia juu Kamati ya Tuzo za Muziki Tanzania kufuatia orodha ya Nominees wa Tuzo za mwaka 2022 ambayo imetangazwa leo. Mbosso ameishutumu Kamati kwa kuendekeza roho mbaya na chuki na ndio maana wasanii wanaojielewa thamani yao, hawataki kushiriki.

Kero kubwa ya Mwimbaji huyo wa WCB ni kwenye maeneo tofauti ambayo anaona nyimbo zake toka kwenye EP ya (Khan EP) zilistahili kuingia ikiwemo EP yenyewe ambayo haijatajwa kwenye Kipengele cha Albamu bora ya Mwaka!


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad