Mchezo wa Simba Vs Waydad Casablanca | Wydad Given a Big Chance to Win

 


“Mbali na Wydad Casablanca kupewa nafasi ya kushinda dhidi ya Simba, bado mchezo umekaa kimtego kwa sababu ni mchezo wa mtoano.”

“Kutokana na mchezo kuwa wa mtoano, hata Wydad wataingia uwanjani wakiwa na tahadhari ya kutoruhusu goli, kwa hiyo sio kwamba watajiachia moja kwa moja.”

“Watakuwa na shinikizo la kupata goli mapema, inawezakuwa faida kwa Simba kama hilo goli halitapatikana mapema kama Wydad walivyojiandaa.”

“Kisaikolojia kadiri muda unavyozidi kwenda, timu ambayo imejiandaa zaidi kupata matokeo ushindi halafu inashindwa kupata kwa uharaka, wachezaji wanaanza kutumia mbinu binafsi na kutoka kwenye mpango wa timu.”

“Sasa kila mchezaji anapoanza kufikiria jambo lake ni rahisi kucheza nao huku nyinyi mkiendelea kuwa kwenye mpango wenu.”

“Kwenye makaratasi naamini Simba nafasi yao ni ndogo lakini ndani ya uwanja naamini Simba inaweza kuleta upinzani na kuingia Nusu Fainali.”

- Amri Kiemba 

Matokeo Simba na Wydad Casablance | Results

MATOKEO Simba vs Wydad Casablanca Leo 28 April, CAF Champions League

Kikosi cha Simba Leo vs Wydad

Kikosi Cha Simba Vs Wydad Casablanca Leo 28 April 2023, CAF Champions League

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad