Mfanyakazi Geita Gold Mine Akutwa Ameuawa na Kukatwa Viganja vya Mkono



Mwili wa Milembe Suleiman, aliyekuwa Afisa Ugavi wa Kampuni ya Madini ya dhahabu ya Geita Gold Mine (GGM) umekutwa maeneo ya #Mwatulole ambapo kuna Nyumba zake zilizokuwa katika hatua ya ujenzi

Kamanda wa Polisi Mkoa wa #Geita, Safia Jongo amesema Watu wanne wanashikiliwa kutokana na tukio hilo, chanzo hakijafahamika na uchunguzi unaendelea

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad