Mgahawa alipouawa AKA wafungwa jumla



Mgahawa ambako aliuawa Rapa Aka "Wish On Florida" kufungwa moja kwa moja, kwani wametoa taarifa Kwamba wanasikitika kufungwa kwa mgahawa huo Aprili 10 huku wakidai kuwa tangu kifo cha Rapa huyo wameshuka kwa kiasi kikubwa sana Kibiashara.


Kupitia ukurasa wao wa Instagram pia wametoa shukrani kwa Mji wa Durban kwa usaidizi mkubwa (Support) katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita lakini pia wanawaalika watu mbalimbali kuungana nao Aprili 10 siku ambayo ndio itakuwa ya mwisho katika mgahawa huo.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad