Mpambano wa Diamond na Majizzo una Faida?


 Mpambano wa Diamond na Majizzo una Faida?

Baada ya mkurugenzi wa EFM Majizzo kutangaza kuwa kwenye media yake watangazaji wanne wameondoka kwa wakati mmoja ambao ni Braka Maulid Kitenge, Gerald Hando, B Dozen na Oscar Oscra unahisi itaathi ufannisi wa kazi?

Mpaka sasa Kitenge na Hando wamejiunga na Wasafi media chini ya Diamond huku B Dozen na Oscar wakiwa bado kimya wakiwa nje ya nchi.

Zipo tetesi kuwa B Dozen huenda akarejea Clouds media huku Oscar Oscar akidaiwa kujiunga na Wasafi Media.

Mvutano kati ya wakurugenzi wa media hizi mbili kubwa unakuza tasnia ya habari au unaharibu.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad