Msiichukulie Simba Kama ni Timu ya Kawaida..Mpaka Sasa ni Miongoni mwa Timu Bora Afrika


Tunapoizungumzia Wydad Casablanca kwamba ni timu hatari haimaanishi kuwa Simba ni timu dhaifu! Watu wanaiweka Simba kwenye daraja la timu za kawaida, haipo hivyo.”

“Kwa namna ambavyo Simba wanacheza michuano ya CAF ni miongoni mwa timu bora Afrika.”

“Soka la siku hizi ni mipango, haijalishi una wachezaji wazuri kiasi gani lakini utaingia na mpango gani ili kupata matokeo unayoyahitaji.”

“Simba itategemea wataingia na mpango/mbinu gani kucheza dhidi ya Wydad Casablanca. Mpango na mbinu ndio kitu ambacho kitawasaidia.”

By Mkazuzu

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad