Mwanamuziki Bora wa Kiume Hip Hop Tanzania Music Awards

 


Wasanii waliochaguliwa kuwania Tuzo ya Mwanamuziki Bora wa Hiphop wa Mwaka kwa upande wa Wasanii wa Kiume katika Tuzo za Muziki za Tanzania #TMA2022 ni


~ @kalajeremiah

~ @billnass

~ @countrywizzy_tz

~ @therealfidq

~ @johmakinitz


Ni Msanii gani ambaye unahisi anastahili kuikwarua Tuzo hii!? •

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad