Web

Mwanamuziki Maua Sama Aishitaki Azania Bank Kutumia Kazi yake Pasipo Malipo

Top Post Ad



Mwanamuziki Maua Sama Aishitaki Azania Bank Kutumia Kazi yake Pasipo Malipo


Mwanamuziki Maua Sama ameishtaki benki ya Azania kwa kile kinachodaiwa ni kutumia kazi yake palipo ridhaa au makubaliano yoyote.

Hitmaker huyo wa Nioneshe ameifungulia mashtaka benki hiyo kupitia wanasheria wake wa Msando Law Office.

Kesi hiyo ya kukiuka haki miliki imepangwa kusikilizwa May 22 kwenye mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.

Bado haikuweza kufahamika mara moja ni wimbo gani wa Maua ambao benki hiyo imeutumia na pia kwenye mradi au tangazo gani.

Below Post Ad

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.