DC wa Instagram @mwijaku ashangazwa na mambo yanayoendelea kati ya @marioo_tz na @rayvanny ya kugombana sababu ya mwanamke huku akiuita upumbavu kuendekeza roho mbaya na visasi.
Kupitia ukurasa wake wa Twitter @mwijaku amepost picha za wawili hao na kuandika "Ni upumbavu kugombana sababu ya mwanamke jiulize wewe ni wa ngapi kwakwe? mmenikwaza sana kuendekeza roho mbaya na visasi". Pia ameipost Instagram kwake na kuandika "@basata.tanzania ongeeni na hawa watoto . Watapotea kimziki wamejisahau na kuendekeza UESHARATI na VISASII"
Ikumbukwe @marioo_tz kwasasa ana uhusiano wa kimapenzi na @therealpaulahkajala ambaye alikuwa mpenzi wa @rayvanny na ndiyo kinatajwa kuwa chanzo cha ugomvi wao.