Mwijaku: Mtu ana nyumba moja anamuiga Hakimi



DC wa Insta, Mwijaku ameibuka na kuwashangaa wanaume wanaomuiga mchezaji Hakimi ambaye anatrend kwa kumuandisha mama yake mzazi mali zake zote na si mkewe ambapo amefunguka haya.


“Mtu unanyumba yako moja na katoyota unaanza kumuiga HAKIMI. Hebu fanyeni kazi acheni kuwapa wakati mgumu wake zenu majumbani hukoo. Wanawake hawapumui kidogo tuu HAKIMI katufundisha kitu. Kitu gani hikoo na TOYOTA yako moja na servant quarter ya matofali.”

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad