Mzee Huyu ni zaidi ya Hakimi, Alimpa Mkewe Talaka Bila Mwanamke Kujua Miaka 20 iliyopita


Mwaka 1994, Gabriel Vila Aliyekua Wakili Na Wakala Wa Usafiri Alikutana Na Mwanamke Mrembo Kwenye Chakula Cha Usiku Christina Carta Nakufanikiwa Kumsana Wakawa Wapenzi.

Hawakuishia Ku-date Tu Waliingia Kwenye Ndoa Ingawa Mwanamke Alikua Mdogo Chini Ya Mume Wake Zaidi Ya Miaka 30, Walidumu Kwenye Ndoa Yenye Furaha Kwa Miaka 20 Baadae Christina Aliamua Kuachana Na Gabriel Nakuomba Talaka.

Lakini Alipoenda Kwa Wakili Wake, Christina Alishtuka Kuambiwa Kwamba Tayari Alikua Ameachana Na Gabriel Miaka 20 Iliyopita.

Na Hii Ni Sababu Miezi Minne Baada Ya Ndoa Yao Wanandoa Hao Walienda Jamhuri Ya Dominika Kwa Mapumziko, Na Gabriel Alimtalakia Huko Christina Kwa Sababu Ndio Nchi Pekee Ambayo Mtu Anaweza Kutoa Talaka Bila Kumjulisha Mwenzake.

Gabriel Anasema Alifanya Hivyo Kwa Sababu Alijua Siku Moja Christina Atataka Talaka Nakujaribu Kuchukua Pesa Zake.

Mzee Alikua Mbele Ya Muda 😅

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad