Nandy amzawadia Billnass Range Rover kwenye Birthday yake


Mwimbaji Nandy amzawadia Mume wake Mpenzi Billnass Gari la Kifahari Aina ya Range Rover kwenye Siku ya Birthday yake

Nandy Ameandika Haya:

MUME WANGU.. happy 30 years old!! Sijui nikuelezeje but umebeba maaana halisi ya uwanamke wangu! Licha ya kuwa MUME WANGU MUME BORA WE NI MWANANGUUU SANAAAA 🫶 MY G FOR LIFE …Asante kwa kuwa tabasamu langu la kila siku, asante kwa kunifundisha upendo wa dhati na maana halisi ya MAPENZI! Hii siku ni ya kipekee sio sababu umezaliwa hapana ni sababu ni siku yako ya kuzaliwa ya kwanza kwenye maisha yetu ukiwa kwenye ndoa ukiwa MUME WANGU wooooow🥶 , na ukiwa na baraka ya mtoto wako wa kipekee.. hii kwetu ni baraka kubwa najiona nimekamilika na sio mwenye changamoto yoyote nikiwaona machoni mwangu. MUNGU atulinde kama leo tulivo fungua siku yako tukiwa watatu tu basi na mwakani tuwe kama tulivo au zaidi kwa uwezo wa MUNGU na kwa mapenzi ya dhati hivi hivi, bwanaaaa nakupenda sana sina haja yakukueleza saana unajua navo kuzimia mshkaji wangu ❤️ enjoy your day @billnass @billnass

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad