Simba inatarajia kuanzia nyumbani katika mchezo wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kuivaa #Wydad ya #Morocco
Mechi nyingine za hatua hiyo CR Belouizdad (Algeria) dhidi ya Mamelodi Sundowns (Afrika Kusini), Al Ahly (Misri) na Raja Casablanca (Morocco), JS Kabylie (Algeria) na Espérance de Tunis (Tunisia)
Michezo ya kwanza inatarajiwa kuchezwa Aprili 21 na 22, 2023 kisha marudio ni wiki moja baadaye (Aprili 28 na 29, 2023)