Paula Kajala Ahamia Yanga kisa Penzi la Marioo

 


Katika kile kinachoonekana kuwa ni penzi kukolea, mwanadada mrembo Paula Masanja ameamua kuhamia Yanga SC kumfuata mpenzi wake, Marioo ambaye ni shabiki wa Yanga.

Awali, Mwanadada huyo alikuwa mnazi wa klabu ya Simba lakini kwa sasa kisa penzi la 'Toto Bad' amekuwa Mwananchi.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad