Ripoti ya CAG: Tanzania Yatumia Tsh Bilioni 6.6 Kutunza Vyura wa Kihansi Nchini Marekani



Kupitia ukagauzi uliofanywa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka 2021/2022 imebainika kuwa Vyura 500 bado wapo #Marekani licha ya kumalizika kwa mkataba wa matunzo

Serikali ilipeleka Vyura hao katika bustani za #Bronx na #Toledo ili kupisha ujenzi wa mradi wa kuzalisha Umeme katika #BwawaLaKihansi miaka 22 iliyopita kwa mkataba ulioisha mwaka 2020 na ikaongeza miaka miwili hadi mwaka 2022

#CAG amesema pamoja na kuisha kwa mkataba huo, bado hakuna taarifa za kurejeshwa kwa Vyura hao Nchini huku idadi yao ya sasa ikiwa haijulikani.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad