Serikali ya Kenya Yashindwa Kulipa Mishahara ya Wafanyakazi Wake.. Yadaiwa Hela Kuibiwa na Serikali iliyopita


Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua amesema mishahara ya watumishi wa umma imechelewa kwa sababu Serikali haina fedha kutokana na awamu iliyopita kuiba fedha za umma.
Maelfu ya wafanyikazi katika kaunti 47 nchini Kenya wamekaa kwa miezi kadhaa bila mishahara baada ya serikali kushindwa kutoa mgao sawa wa mapato kwa wakati.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad