Shauri la Fei Toto Kuvunja Mkataba na Yanga Kujadiliwa Leo Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji
0
April 12, 2023
Kamati ya sheria na hadhi za wachezaji ya TFF itakutana leo tarehe 12. April.2023 saa 4:00 asubuhi. Kamati pamoja na mashauri mengine itajadili shauri la FEISALI SALUM ABDALLAH (Feitoto) aliyeomba kuvunja mkataba na klabu yake ya Yanga SC.
Tags