Shilole Awashukia Wanaokosoa Kuwekwa Kwenye Kipengele cha Mwanamuziki Bora wa Kike "Mkileta Mzaha Tuzo Nachukua"


Kufuatia baadhi ya Wasanii kulalamika kuwa Shilole Hakustahili Kuwekwa Katika Kipengele cha Mwanamuziki Bora wa Kike Bongo Fleva , Mwenyewe amefunguka haya

"Na mkileta mzaha na Tuzo nachukua!🤣🤣🤣Wote mnaopiga kelele ni kwa sababu hampo kwenye kipengele chochote @basata.tanzania msiyumbishwe fanyeni kazi yenu! Mnataka kujizima data wakati sitaki mazoea ilikuwa hit song mwaka Jana . Watoto wa kiume fanyeni kazi, udananda utawaponza shenzzz ‘ Mi ndio Shishi Master kabisa napiga miguu yote 🤣.. ndegelec in @hajismanara ‘z voice" Shilole

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad