Utulivu akiwa na mpira,maamuzi sahihi wakati akiwa na mpira "Touching zake ni nouma".
Tukija kwa upande wa Yanga kw ujumla vitu ni vile vile "Game plan yao ni hatari sana, Wachezaji wake wanapambania nembo ya Klabu yao muda wote na kuonyesha thamani yao na uwezo.
Mbinu na mipango thabiti ya benchi lake la ufundi imekua nzuri sana huku mpango kazi huo ukifanywa vyema na Wachezaji wake ndani ya uwanja.
Quality ya Yanga ni bora sana, ukifanya makosa lazima wakuadhibu vyema.
Note: Ushindi huu wa magoli matano kwa upande wa Yanga dhidi ya Kagera Sugar kuna kitu imewaongezea kuelekea ‘Dabi’ ya Kariakoo dhidi ya Watani zao Simba.