Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Dkt. Athuman Ngenya, amesema uamuzi huo unafuatia uwepo wa taarifa kuhusu Poda hususani za Watoto kuhusishwa na Saratani
Dkt. Ngenya ameeleza Poda zilizopo sokoni Tanzania kwa sasa zinatoka Afrika Kusini na tayari #TBS imewasiliana na Mamlaka za huko ili kufahamu kama ni toleo linalohusishwa Saratani
Kampuni ya Johnson & Johnson hivi karibuni imekiri kuwa itawajibika kuwalipa Tsh. Trilioni 20.8 waathirika zaidi 60,000 waliodai kupata Saratani baada ya kutumia moja ya toleo la Poda zake