Donald Trump ni rais wa kwanza wa zamani wa Marekani kukamatwa kwa tuhuma za uhalifu.
Anafikishwa katika Mahakama ya Jinai ya Manhattan New York kwa mashtaka ya uhalifu yanayosemekana kuhusiana na malipo ya pesa yaliyofanywa kwa nyota wa filamu za watu wazima (ngono) Stormy Daniels mnamo 2016.
Trump tayari ametiwa mikono baada ya yeye mwenyewe kujisalimisha baada ya kukutwa na makosa.