Watu Kadhaa Wahofiwa Kupoteza Maisha Baada ya Basi la Burudani Kugonga Daladala Mbezi



Watu kadhaa wanahofiwa kupoteza Maisha huku wengine wakijeruhiwa, kufuatia Ajali iliyotokea maeneo ya Mbezi Luguluni ikihusisha Basi la Kampuni ya Burudani, lililokuwa likitokea Mkoani Tanga kuja Dar es Salaam

Basi hilo linalodaiwa kuwa katika Mwendokasi, lilipoteza Uelekeo na kuhamia upande wa pili wa Barabara na kugonga daladala na bodaboda wakati likijaribu kulikwepa Gari dogo lililokuwa linaingia Barabarani
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad