Wimbo Bora wa Hip Hop Tanzania Music Awards


Nyimbo zilizochaguliwa kuwania Tuzo ya Wimbo Bora wa Hiphop kwenye Tuzo za Muziki wa Tanzania kwa mwaka 2022 ni.


~ Mbave - @trixy__tonic

~ Blue Print - @rosa_ree

~ New Material - @chemical_tz

~ Tanzanite - @johmakinitz

~ Kumbuka - @kalajeremiah


Unadhani ni wimbo gani kati ya hizo unastahili kutwaa Tuzo hiyo ya Wimbo bora wa Hiphop!? • #CloudsDigitalUpdates

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad