Nyimbo za Bongo Fleva zilizochaguliwa kuwania Tuzo ya Wimbo Bora wa Mwaka wa Muziki wa Bongo Fleva kwenye Tuzo za #TMA2022 ni
~ Dear Ex - @marioo_tz
~ Dunia - @harmonize_tz
~ Upo Nyonyo - @phina__tz
~ Kwikwi - @barnabaclassic
~ Tamu - @barnabaclassic