Droo ya Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika imekamilika na Yanga itaanzia ugenini kukipiga dhidi ya Rivers United FC
Pyramids (Misri) imepangwa kucheza na Marumo Gallants ya Afrika Kusini, US Monastir (Tunisia) dhidi ya ASEC Mimosas ya Ivory Coast, USM Alger (Algeria) itaivaa ASFAR ya Morocco