Web

Adam Kighoma Malima Mkuu Mpya wa Mkoa Morogoro, Atolewa Mwanza

Top Post Ad


Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uhamisho wa baadhi ya Wakuu wa Mikoa ambapo aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Adam Kighoma Malima amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro akichukua nafasi ya Fatma Abubakar Mwassa ambaye amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera.

Below Post Ad

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.