Ahmed Ally 'Simba Imetoa Wachezaji Wengi Wanaowania Tuzo za Ligi Kuu Tanzania'



Simba ndio timu iliyotoa wachezaji wengi katika orodha ya wachezaji wanaowania tuzo za Ligi kuu ya NBC

Jumla tumetoa wachezaji 7 na Wawili wamejirudia hivyo wapo 9

Hii ni ishara kuwa tunawachezaji wenye ubora wa hali ya juu sana, Ubora wao unaweza usionekane kwa sababu hatujatimiza malengo yetu msimu huu lakini ukweli utabaki kuwa tuna wachezaji bora mnoo

Kifuatacho sasa tuongeze bora wengine ili tutengeneze kikosi bora cha misimu ijayo

Hongereni wachezaji wote wa Simba mlioteuliwa kuwania tuzo mbalimbali

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad