Ahmedi Ally 'Wanasimba Msiwe Wanyonge Hakuna Maajabu Waliyofanya Utopolo'




Mtazamo wa Semaji la Caf @ahmedally_ ✍️

'Wamefika fainali kwa kucheza na timu dhaifu zisizokua na uzoefu kwenye mashindano ya Afrika

𝐆𝐫𝐨𝐮𝐩 𝐒𝐭𝐚𝐠𝐞
Mazembe (ICU Wanapulia gesi)
US Monastir (Mara ya kwanza Group Stage)
Real Bamako (Mara ya pili Group Stage)

Katika hili kundi hakuna bingwa wa Nchini mwao zaidi ya Mazembe tena alipata ubingwa wa Sandakalawe baada ya As Vita kupokwa points'

𝐑𝐨𝐛𝐨 𝐅𝐚𝐢𝐧𝐚𝐥𝐢
Rivers United, Hii ni Robo Fainali yake ya kwanza ya CAF hajui lolote

𝐍𝐮𝐬𝐮 𝐅𝐚𝐢𝐧𝐚𝐥𝐢
Marumo, Huyu kufika nusu fainali ni tembo juu ya mti, Ndo mara ya kwanza anashiriki mashindano Africa, imagine katika ligi ya kwao amecheza mechi 25 ameshinda nne tuu, Marumo amefika Nusu Fainali kwa sababu Kombe la Shirikisho msimu huu limekua jepesi mnoo

Kwa ufupi ni kwamba hakuna maajabu ambayo UTO amefanya ukitaka kujua kiwango chao halisi cha kimataifa rejea mechi ya Al Hilal'

Wana Simba hatupaswi kuwa wanyonge kwa Fainali yao kwani kwa timu zilizopo Shirikisho hata tungepeleka Simba U 20 tungecheza Fainali"

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad