Alichoandika PCK Baada ya Kifo cha Lemutuz

Alichoandika PCK Baada ya Kifo cha Lemutuz


 "Ila mungu acha aitwe mungu aiseee 😂😂😂😂. Kiko wapi???

Mungu hua anajibu kwa wakati wake leo nitafanya party ambayo sijawai kuifanya maishani mwangu tena party kubwa haswaaaaaaa

Sijui alikua anadhani mungu ni baba yake mzazi ao??? Bomayee na kati ya moto ya shetani"- @official_pck

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad