Yanga Kukutana na Mwarabu USM Alger Fainali...Kuanzia Nyumbani



Timu ya #USMAlger imeingia Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa kuifunga #ASECMimosas ya #IvoryCoast magoli 2-0 katika Nusu Fainali ya pili baada ya awali kutoka 0-0

Kwa matokeo hayo mchezo wa Fainali unatarajiwa kupigwa Mei 28 na marudio ni Juni 3, 2023 ambapo #Yanga itaanzia Nyumbani kwenye Uwanja wa Mkapa

Timu hizo zinatarajiwa kukutana wakati Yanga ikiwa imetwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara 2023 huku USM Alger ikishika nafasi ya 7 kati ya timu 16 katika Ligi Kuu ya Algeria ambayo bado inaendelea
-

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad