Bodi ya Ligi Kuu imeipongeza Yanga kwa kutwaa ubingwa wa ligi kuu ya NBC




Bodi ya Ligi Kuu imeipongeza klabu ya Yanga kwa kutwaa ubingwa wa ligi kuu ya NBC kwa msimu wa 2022/23

Yanga imetwaa ubingwa huo baada ya kuichapa Dodoma Jiji mabao 4-2 katika mchezo uliopigwa uwanja wa Azam Complex na kufikisha alama 74 ambazo haziwezi kufikiwa na timu yoyote kwenye ligi

Ni msimu wa pili mfululizo Yanga inafanikiwa kutwaa ubingwa

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad