BREAKING: Bernard Membe, amefariki Dunia katika Hospitali ya Kairuki


TANZIA: Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje Awamu ya 4 na Mgombea Urais kupitia ACT Wazalendo 2020, Bernard Membe, amefariki Dunia katika Hospitali ya Kairuki, Jijini Dar es Salaam baada ya kuugua kwa Muda Mfupi
-
Bernard Membe alihudumu katika nafasi ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Mwaka 2007 hadi 2015.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad