Breaking: Lifti ya Jengo la Millenium Tower Yadondoka na Watu zaidi ya Kumi


Muda huu kutoka jengo la Millenium Tower, Makumbusho Jijini Dar es salaam, lift ya ghorofa imefeli na kudondoka ikisemekana kuwa na Watu zaidi ya 10 ndani yake, Habari kamili zitafuata hivi punde

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad