Clatous Chama Afungiwa Kucheza Mechi Tatu



Shirikisho la Soka la Tanzania #TFF) limetangaza kuchukua hatua hiyo pamoja na kumtoza faini ya Tsh. 500,000 kwa kosa la kumkanyaga kwa makusudi Mchezaji wa #RuvuShooting, Abal Kassim Suleiman

Tukio lilitokea wakati Wachezaji hao hawagombei Mpira, jambo ambalo lilisababisha mwamuzi wa Mchezo ashindwe kuona. Adhabu hiyo ni kwa kuzingatia Kanuni ya 41:5 (5.2) ya Ligi Kuu kuhusu udhibiti kwa Wachezaji

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad