Cristiano Ronaldo Yameanza Kumshinda Al Nasar Ataka Kurudi Ulaya


Baada ya kukipiga kwa miezi mitano nchini Saudi Arabia kunako Klabu ya Al Nassr , Nahodha wa Ureno Cristiano Ronaldo ameonesha nia ya kutaka kuondoka Klabuni hapo

Kwa mujibu wa baadhi ya Vyanzo anatajwa kuwa lengo lake ni kurudi Ulaya

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad