Dogo Janja: Sijawahi kugombana na Uwoya

 

Dogo Janja: Sijawahi kugombana na Uwoya

Rapa machachari Dogo Janja, amesema hajawahi kuwa na ugomvi na aliyekuwa mkewe, muigizaji Irene Uwoya.

Janja ameyasema hayo usiku wa kuamkia leo alipokuwa kwenye shoo pande Temeke jijini Dar.

"Sijawahi kugombana naye ndio maana umeona amekuja jukwaani na kunitunza. Tumezunguka naye kwenye mikoa mingi nilipokuwa nafanya naye hizi shoo, kuachana na mtu sio sababu ya kugombana," alisema Dogo Janja.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad