Eng. Hersi Said 'Sikuwahi Fikiria Kuwa Rais wa Yanga'






“Sikuwahi hata kuwaza kama kuna siku nitakuwa kiongozi wa klabu kubwa ni kitu ambacho kimetokea kutokana na mfululizo wa matukio ambayo yamefanya leo nimekuwa kiongozi wa Yanga”

“Yanga nimekuwanayo kwa muda mrefu! Nakumbuka 1992 Mzee wangu alikuwa anasikiliza mpira kwenye Radio, hapo ndio niligundua kuwa Mzee wangu alikuwa Shabiki wa Yanga na baada ya hapo ndio nikawa shabiki wa Yanga, baadae nikawa mwanachama, baada ya hapo GSM ilipoingia katika uwekezaji na Yanga ndipo nikapendekezwa kuwa Rais wa Yanga” -Eng. Hersi Said @caamil_88 Rais wa Klabu ya Yanga kwenye #PowerBreakfast

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad