Fainali Kombe la Shirikisho Afrika ni Nyumbani na Ugenini




KAMA Yanga itavuka leo, italazimika kucheza fainali kwa mtindo wa nyumbani na ugenini ili kupata bingwa wa Kombe la Shirikisho Afrika.

Kwa mujibu wa Caf, ni kwamba mshindi wa mechi ya Yanga na Marumo, atakuwa mwenyeji wa fainali ya kwanza Jumapili ya Mei 28.

Marudiano itakuwa ni ugenini, Juni 3, ambapo mshindi wa Yanga na Marumo atamvaa atakayevuka kati ya USM Algiers na Asec Memosas ambao katika mechi ya kwanza Ivory Coast walitoka suluhu.

Nusu fainali za leo, zimebeba msisimko mkubwa kwani kila mmoja amepania kuweka rekodi yake huku Yanga ikiwa inataka zaidi kujiweka katika levo nyingine.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad