Fantana Mrembo Mwenye Umbo la Kuvunja Chaga Adai Diamond Alimwambia Hana Mpenzi

Fantana Mrembo Mwenye Umbo la Kuvunja Chaga Adai Diamond Alimwambia Hana Mpenzi


Mrembo kutoka kiwanda cha muziki nchini Ghana @iamfantana ambaye siku kadhaa zilizopita video yake inayomuonyesha akiwa anabusiana na @diamondplatnumz kwenye series ya netflix #YoungFamousAfrican amedai kuwa #Diamond alimwambia kuwa hana mpenzi kabla ya kushuti scene ile na kwa upande mwingine #Fantana amedai kuwa hamjui #zarithebosslady

Kwenye mahojiano aliyofanya na @johnjackson_jj kwenye session ya Instalive @iamfantana aliulizwa wakati anashuti scene ile "Kiss Scene" alikuwa ajui kama #Diamond ana mpenzi na akajibu "Mimi nikikuuliza mara ya kwanza kama una mpenzi ukakataa, nikakuuliza mara ya pili ukakataa na ya tatu vilevile najua ni kweli huna".huku alipoulizwa kuhusu vitu alivyoandika kwenye Instastory yake kuhusu #Zari ni kweli au alikuwa anapromote show alijibu kuwa hamfahamu mrembo Zari.

.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad