'Feisal Toto Tumempa Machaguo Haya Matatu Achague' Yanga

'Feisal Toto Tumempa Machaguo Haya Matatu Achague' Yanga


“Sitaki kwendambali ila mimi naamini kunakitu nyuma ya Feisal kinachomsukuma kufanya haya, kuvunja mkataba inaruhusiwa lakini pale ambapo pande zote mbili mnapokuwa mmeshindwa kufikia makubaliano, kitu ambacho kwa Feisal hakipo kwasababu Yanga tumetekeleza yote ambayo anapaswa kutekelezewa Feisal hivyo mamlaka zikamtaka Feisal kuendelea na mkataba wake”

“Tumempa Feisal machaguo matatu!

1. Arudi kutumikia mkataba wake

2. Kama tatizo ni maslahi aje tuzungumze kwasababu upande wa Yanga hatuna shida na kumboreshea maslahi yake.

3. Klabu yoyote inayomtaka Feisal ije tuzungumze nayo sis kama Yanga wala hatuna shida” -Maneno ya Engineer Hersi Said @caamil_88 kwenye #PowerBreakfast ya CloudsFM •

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad