Goli la Morrison Funzo Katika Maisha, Ukianguka Simama


Ni funzo hata kwenye Maisha ya kawaida, Ukiteleza Simama tena na usikubali kukata tamaa, Usiogope kuzodolewa na Waja unapoteleza.

Ndioooooooooooo, Wote ambao tuliowahi kuzodolewa na kutokubali kushindwa tulifanya hivyo , tuliinuka tukasimama tena kisha tukashinda.

Morrison @bm3gh hafiki mbali na hana kitu 🤪🤪lakini ni Mwanamme halisi wa kiafrika, ametupa somo kubwa jana katika maisha.

Ukishakuwa na Malengo yako usikubali kuangushwa kisha eti ukae kitako, Morrison tusimpe Maua tumpe Asumini zake.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad