H Baba Aibua Mpya "Harmonize Acha Kuchukua Mizoga, Kitakacho Kukuta Huta Rudia"



Ameandika H Baba;

Siongei tena; Nyadundo acha kuchukua mashemeji zako unajua kabisa usingizi wa nani huu nikiongea Mimi h. mkorofi unanitafuta sana Ata Briana alikuwa demu wa DJ seven Maskini ya Mungu ulichomfanyia Seven Mungu ndie Anajua wewe nibingwa wakutembea namashemeji zako Waswahili wanaita mizoga.

Endelea kunitafuta nimekuonya sana Nyadundo ujaskia usiseme umemtongoza miaka minne niuongo kipindi imetoka ATTITUDE Unamfata dm unamuita Shemeji baadae ukajitupa mzima ukatolewa mbavuni ukaongeza nguvu kupitia #BruceMelody Zanzibar juzi ila nawapa pole awakujui Mzee wa ahadi fake...

kitachokukuta utorudia eti Nanunua nyumba Rwanda wee mwenyewe umepanga Acha kumdanganya Shemeji yako wee toa video yako uliofanya zenj ukimaliza ntampa maagizo akunyooshe zaidi ya KAJALA unashindwa kuwapa mitaji dada zako wadogo zako wanahangaika kutwa kujitapa tapa ufake utakuponza Nyadundo

Acha nimpe Maagizo mapyaa Mama la mama wewe si Mzee wa mizoga Nyadundo tulia nikuonyeshe ukenge hii nivita ya Mr. fake fake na Mimi Maskini jeuri....

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad