Harmonize ' Ili Kunipa Mimi Nije Kuimba Katika Show yako Andaaa Milioni 236'

 

Harmonize

Bado staa wa Muziki Harmonize ameendelea kutilia mkazo kuwa Staa wa Muziki na Mwanasiasa kutoka Nchini Kenya Jaguar hana pesa na sio kijana mdogo kama anavyojiita.

Mbali na hivyo Harmonize ameweka wazi kuwa ili umpate kwenye Show inabidi uwe na USD 100K (Tsh.Milioni 236).

Kupitia ukurasa wake wa Instagram (Instastory) Harmonize ameshare Clip ya mahojiano ya Jaguar ambayo alikuwa akisema kuwa Harmonize inabidi afanye juhudi zaidi ili amfikie na afike mbali kwenye Muziki na kumwambia kuwa baada ya Tour yake ya Afrika basi Jaguar hatojitapa tena kuwa ana pesa kuliko Konde Boy.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad