Harmonize "Acheni Kumchukulia Poa Hamisa Mobetto She is the Qeen"


Harmonize @harmonize_tz ashangazwa na wanaume wanaomficha @hamisamobetto akiwa nao, kwanini hawamlili Hamisa na bado yuko single, ni ujumbe alioweka kwenye IG stori yake na video ya Hamisa akiburudika na rekodi yake ya SINGLE, asema Hamisa anauwezo wa kuwa na mtu yoyote kwenye game kasoro yeye,

Harmo ameandika, "Hamisa Ndiye Malkia anaechukuliwa poa sana, Ndiye Mwanamke Anaefuatiliwa Zaidi akiwa na followers 10 M+, Sijawahi Kuona Mwanaume Akimlilia Daima, Tunalilia mambo ya hovyo, Hakuna anaejivunia, Wanamficha Ficha tu, I m Proud Of Hamisa, Najua Haupo Tayari Kuwa Na Mtu Coz ukitaka Unaweza Kuwa Na Mtu Yoyote Kwenye Game, Ukimtoa Kondeboy, Anyway Asante Sana Najua ukweli upo Single"

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad