Haya Hapa Makombe Ambayo SIMBA Msimu Huu Wamekufa Kiume, Nani Kupewa Lawama?



Makombe ambayo Simba ‘wamekufa kiume’ msimu huu:

-Mapinduzi Cup

- Mabingwa Afrika

- Azam Federation

Kwa upande wa Ligi Kuu bado bingwa hajapatikana. Yanga wakifungwa mechi zote zilizobaki, Simba wanaweza kuwa mabingwa ‘kiume’ na mashabiki wao ‘wasiwadai’.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad