Irene Uwoya Ataja Kinachomtesa Kutoa Kwa Mpenzi Wake



MSANII wa Filamu Irene Uwoya @ireneuwoya8 ‘Uwoya’ amesema kuwa, anaweza kulia pale ambapo akishindwa kuelewana na mpenzi wake.

Akistorisha mwanamama huyo amesema kuwa, kwenye vitu ambavyo anaviheshimu; moja kati ya hivyo ni uhusiano wake wa kimapenzi.

“Napenda sana kuiheshim pesa ila kwangu kubwa zaidi ninachokiheshimu ni mahusiano yangu ninaweza kulia pale ambapo ninashindwa kuelewana na mpenzi wangu.

“Namheshimu sana na ninampenda hivyo tukitokea kugombana inanikata stimu kabisa yaani ninakuwa na huzuni isiyokuwa na kifani,” alisema Uwoya.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad